HomeSERIKALI MKO WAPI,SIKIENI KILIO CHA WATU HAWA!!!!!
SERIKALI MKO WAPI,SIKIENI KILIO CHA WATU HAWA!!!!!
Muuguzi wa Mama na Mtoto wa Zahanati ya Kijiji cha Makuyu, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, Amina Abdallah , akiwasha jiko la mchina kwa ajili ya kuchemshia vifaa vya kazi kabla ya kuwahudumua wagonjwa wanaofika kutibiwa katika Zahanati hiyo ambapo kwa muda mrefu amekuwa pekee akiwahudumua wagonjwa katika hatua mbalimbali za matibabu. (picha Mdau wa Morogoro" )
Chanzo:
Lukwangule Intertaiment.
Post a Comment