Tutafika tunapo taka kwenda???

Sunday, November 20, 2011 | comments

HALI NGUMU YA MAISHA!!


Hawa ni wakazi wa iringa wakiwa wametoka vijiji vya jirani mkoani Iringa kuchukua pombe aina ya Ulanzi ambayo inapendwa na wakazi wengi wa Iringa na maeneo mengi ya jirani mkoani Huko.
Wakazi hawa hujishughulisha na Biashara hii Mashuhuri Mkoani huko kwa lengo la kuinua kipato kutokana na halingumu ya Maisha.
Chanzo,Michuzi:
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Designer | Ibrahim Haruna | +255716606570
Copyright © 2011. SAUTI YA VIJIJINI - All Rights Reserved
Template Created by TheDynamite Published by TRJA
Proudly powered by Nativebase Company